Ada Za Chuo Kikuu Dar Es Salaam | Ada UDSM

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ni mojawapo ya vyuo vikuu kongwe na vinavyoongoza kwa ubora nchini Tanzania. Kila mwaka, chuo hiki hupokea maelfu ya wanafunzi wanaojiunga na programu mbalimbali za shahada. Ili kuwasaidia waombaji na wanafunzi kujipanga kifedha, ni muhimu kufahamu ada za masomo kwa kila programu.

Makala hii inalenga kutoa muhtasari wa ada za shahada tofauti zinazotolewa UDSM, ili kukupa uelewa sahihi na kukuwezesha kufanya maamuzi ya kimipango kuhusu masomo yako ya juu. Nimekuwekea orodha ya vyuo(college) vinavyo toa shahada hizo pamoja na ada

Kitengo Cha Elimu ya Sanaa

Orodha ya vyuo vinavyotoa:

  • CoSS – College of Social Sciences
  • CoHU – College of Humanities
  • DUCE – Dar es Salaam University College of Education
  • MUCEMkwawa University College of Education
Shahada inayo tolewa Ada kwa wanafunzi Watanzania(TZS) Ada kwa Wageni(USD)
BA in Heritage Management

Music

Art and Design

Theatre Arts

Film and Television

Language Studies

Literature

Philosophy and Ethics

Anthropology

History

Statistics

Psychology

Bachelor of Arts with Education

Bachelor of Education in Arts

1,000,000/= 2,100/=

Kitengo Cha Elimu Ya Lugha

Orodha ya vyuo vinavyotoa:

  • IDS – Institute of Development Studies
  • IKSInstitute of Kiswahili Studies
Shahada inayo tolewa Ada kwa wanafunzi Watanzania(TZS) Ada kwa Wageni(USD)
Development Studies

Kiswahili

1,000,000/= 2,100/=

Kitengo Cha Elimu Ya Makundi Maalumu

SoEd – School of Education

Shahada inayo tolewa Ada kwa wanafunzi Watanzania(TZS) Ada kwa Wageni(USD)
BEd in Adult & Community Education

Commerce

Early Childhood Education

Psychology

Physical Education and Sports

1,000,000/= 2,100/=

Kitengo Cha Uhandisi Na Teknolojia

Coet – College of Engineering and Technology

Shahada inayo tolewa Ada kwa wanafunzi Watanzania(TZS) Ada kwa Wageni(USD)
BSc in Geomatics

Quantity Surveying

1,100,000/= 2,700/=
All programmes (except Geomatics and Quantity Surveying) 1,300,000/= 2,700/=

Kitengo Cha Jamii, Historia Na Mazingira

  • CoSS – College of Social Sciences
  • CoHU – College of Humanities
  • Library
Shahada inayo tolewa Ada kwa wanafunzi Watanzania(TZS) Ada kwa Wageni(USD)
BA in Archaeology

Geography and Environmental Studies

Economics

Political Science and Public Administration

Sociology

Economics & Statistics

Bachelor of Social Work

BA Library

Information Studies

1,300,000/= 2,700/=

Kitengo Cha Uandishi Wa Habari

SJMC – School of Journalism and Mass Communication

Shahada inayo tolewa Ada kwa wanafunzi Watanzania(TZS) Ada kwa Wageni(USD)
BA in Journalism

Mass Communication

Public Relations

Advertising

1,300,000/= 2,700/=

Kitengo Cha Elimu

  • SoEd – School of Education
  • DUCE – Dar es Salaam University College of Education
  • MUCEMkwawa University College of Education
Shahada inayo tolewa Ada kwa wanafunzi Watanzania(TZS) Ada kwa Wageni(USD)
Bachelor of Education (BEed) in Science

BSc with Education

1,300,000/= 2,700/=

Kitengo Cha Biashara, Sheria Na Tehama Ya Mawasiliano

  • UDBS: University of Dar es Salaam Business School
  • UDSoL: University of Dar es Salaam School of Law
  • CoICT: College of Information and Communication Technologies
Shahada inayo tolewa Ada kwa wanafunzi Watanzania(TZS) Ada kwa Wageni(USD)
BCommerce (except Accounting)

BA in Law Enforcement

1,300,000/= 2,700/=
BCommerce (Accounting)

LLB

BSc in Electronic Science and Communication

BSc in Computer Science

BSc in Computer Engineering and Information Technology

BSc in Telecommunication Engineering

B.Sc. with Computer Science

BSc in Business Information Technology

BSc in Electronics Engineering

1,500,000/= 3,500/=

Kitengo Cha Sayansi Inayo Husiana Na Maswala Ya Asili

CoNAS – College of Natural and Applied Science

Shahada inayo tolewa Ada kwa wanafunzi Watanzania(TZS) Ada kwa Wageni(USD)
All programmes 1,300,000/= 2,700/=

Kituo Cha Elimu Y Afya na Sayansi Ya Majini(Marine)

  • IMS: Institute of Marine Sciences
  • MCHAS: Mbeya College of Health and Allied Sciences 
Shahada inayo tolewa Ada kwa wanafunzi Watanzania(TZS) Ada kwa Wageni(USD)
B.Sc. Marine Sciences

B.Sc. Biomedical Engineering

1,300,000/= 2,700/=
Doctor of Medicine 1,800,000/= 5672/=

Kitengo Cha Kilimo Na Chakula

CoAF – College of Agricultural Science And Food Technology

Shahada inayo tolewa Ada kwa wanafunzi Watanzania(TZS) Ada kwa Wageni(USD)
All Programmes 1,300,000/= 2,700/=

Kitengo Cha Sheria

Leave your thoughts