Jifunze Kuandika CV nzuri Kwa Maombi Ya Kazi | 2026
CV (Curriculum Vitae) — pia huitwa résumé katika nchi nyingine — ni muhtasari wako wa kitaaluma: hati fupi, yenye muundo mzuri inayoweka bayana ujuzi, uzoefu, elimu, na mafanikio yako. Makala hii imeandaliwa kukupa maelezo ya kina ikiwa ni hatua kwa hatua na mbinu za ziada ili uweze kuandika CV nzuri kwa maombi ya kazi. Vitu Vya Kuzingatia Kabla Hujaanza Kuandika
Continue reading