Ifahamu wizara ya Elimu Kiundani | 2026
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ina Jukumu la kusimamia na kuratibu utoaji wa Elimu nchini kwa kuandaa Sera, Sheria na Miongozo mbalimbali kutoka ngazi ya Elimu ya Awali hadi Elimu ya Juu. Aidha, Wizara ina jukumu la kusimamia na kuratibu maendeleo ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu; pamoja na matumizi yake katika nyanja mbalimbali ikiwemo Biashara, Viwanda, Kilimo na Maisha
Continue reading