Nelson Mandela

Ada Za NM-AIST (Nelson Mandela) Na Programu Zake | 2026

Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST) ni miongoni mwa taasisi bora za elimu ya juu barani Afrika zinazojikita katika sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati (STEM). Chuo hiki kinatoa programu mbalimbali za shahada za juu zilizoundwa kukuza ubunifu, utafiti wa kiwango cha kimataifa, na kutatua changamoto za kijamii na kiuchumi kupitia sayansi na teknolojia. Katika makala hii, tumekuandalizia

Continue reading