Ada za St. Augustine University of Tanzania (SAUT) Pamoja Na Programu Zake | 2026
St. Augustine University of Tanzania (SAUT) ni moja ya vyuo vya binafsi vinavyoongoza nchini katika utoaji wa elimu ya juu yenye ubora, maadili na uwajibikaji. Kwa miaka mingi, SAUT imejijengea sifa kupitia programu zake zinazogusa maeneo mbalimbali—kutoka sayansi ya jamii, biashara, elimu, kompyuta, sheria hadi uandishi wa habari. Mchanganyiko huu wa kozi umeifanya SAUT kuwa chaguo la wanafunzi wanaotafuta elimu
Continue reading