Taasisi ya usimamizi wa Fedha | IFM
Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1972, Taasisi ya Usimamizi wa Fedha (IFM) imekuwa taasisi ya kwanza na kongwe ya elimu ya juu ya kifedha nchini Tanzania. Kwa muda wote, IFM imejikita katika kutoa elimu bora, kufanya tafiti zenye ubora wa kimataifa, na kutoa ushauri wa kitaalamu. Hadi sasa, taasisi hii ina takribani wanafunzi 15,000 wanaosoma katika ngazi za shahada ya kwanza
Continue reading