Ada za Ardhi University (ARU) Pamoja Na Programu Zake | 2026
Ardhi University (ARU) ni moja ya vyuo vikuu vinavyoongoza nchini Tanzania katika fani za ardhi, mipango ya miji, usimamizi wa rasilimali, sayansi ya kompyuta na masuala ya uchumi na biashara. Katika makala haya ya 2026, tunakuonyesha orodha kamili ya programu zote zinazotolewa na ARU — kuanzia shahada ya chini (Bachelor), masomo ya uzamili (Master) hadi ngazi ya Uzamivu (PhD) —
Continue reading